Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans.
Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance!
Kwa muonekano, chuma inavutia sana, kuanzia nje na ndani. Imekaa kistylish na kisasa ukifananisha na sedans...
Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street.
Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake.
Pia...
ccm
ccm wamchangia lissu
chadema
fedha
garigari la lissu
hamasa
kuelekea 2025
lissu
mchango gari la lissu
njia
nyingine
siasa tanzania
tayari
tundu lissu
ununuzi gari la lissu
Habari za mchana watu wangu
Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50)
Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki
Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao!
Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini
IDF...
Haya magari ya siku hizi noma sana.
Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc.
Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis.
Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa...
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.