Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.
Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
Katika mazingira ya kawaida kuweka tinted sio tatizo na yapo baadhi ya magari huuzwa yakiwa nayo kutokata na kazi ya msingi iliyokuwa inafanywa na gari husika
Ila sasa huku ULIMWENGU WA TATU imekuwa changamoto pale watu wenye nia ovu wanapotumia huo mwanya kufanya uhalifu
Mfano:
1. Watekaji...
Habari wanajamvi,
Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi;
1)Tuwasiliane tujadili gari...
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri
Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute
NISHTUENI WAZEE
JOEX MOTORS TANZANIA LTD, ni kampuni tanzu kutoka Joex Holding Group, sisi ni waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan na Europe, tunaagiza, na kuuza magari yenye auction grade ya kuanzia 4.0 na kuendelea mbele
Kwetu kabla ya kumuagizia mteja gari, tutamshauri, tutamsaidia kumfanyia...
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako,
Kwa kusafishiwa kupitia njia ya kisasa kabisa ambayo inazifanya taa zako kurudi katika ubora wake
Huduma hii imewavutia watu wengi wa jiji la mwanza maana imewasaidia kuepuka kuingia gharama kubwa za kununua taa mpya.
Badala ya kutoa Tsh 400,000...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia.
2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko..
Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika..
Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi..
Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
Habari wakuu,
Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi.
Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
Natafuta gari ndogo ya kukodi kw ajili ya mizunguko ya hapa na pale mim sio mkaaj WA Tanzania nakuja tu likzo ya muda mchache.
Kama kuna mtu anakodisha gari yake kwa siku 30 had 40 aje inbox.
Please Gari nahitaji kuanzia ijumaa hii au Jumamosi.
Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali.
Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.