gari

  1. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  2. Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  3. Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  4. Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  5. Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  6. SI KWELI Mbowe amuonya Lissu adai kuhusu uenyekiti asema Lissu anatunza Fedha zake Ubelgiji

  7. Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
  8. Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

    Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
  9. Hii baa ya Maikoz Mbweni, usipokuja na gari jeusi la tinted hadi wahudunu wanakuona kama kachumbali tu

    Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa. Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana...
  10. Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
  11. Kwanini matrafiki wanazikomalia sana gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo?

    Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo iwe imebeba mizigo au haina mzigo wowote ni lazima gari hiyo au toyo hiyo ipigwe mkono. sasa je...
  12. L

    Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km...
  13. Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  14. Kuna gari aina ya Tesla inauzwa, imeingia Bongo jana

    Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
  15. Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  16. Nahitaji gari dogo la kununua kwa bajeti isiyozidi milioni 6.6

    Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni. Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6 Aina ya gari ninazopendelea ni Spacia, raum, runx/allex, probox/succeed, premo na ractis. Kama unayo, nitumie dm picha...
  17. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  18. Nauza gari mitsubishi canter D33 tiper

    Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
  19. Tuendavyo itahitaji kuwa na tahadhari gari la kupanda

    Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima. Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria wengi. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini baadaye polisi walikataa, na inaonekana hakuna...
  20. Je kubadili Power Stearing ya Umeme kuwa ya Hydraulic kwenye gari ni salama?

    Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme huwa zinasumbua kwa namna hiyo. Amenishauri niibadioishe kutoka kuwa Power Stearing ya Umemeiweya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…