gari

  1. Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

    Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo. Naombeni msaada wataalamu
  2. G

    Baada ya kukwaruziwa au kuharibiwa gari yako ulichukua uamuzi gani kwa mhusika?

    Nakumbuka hapo cha miaka ya 2013 niliwahi kuwa kwenye foleni ya barabara ndogo tunasubiri kuingia barabara kuu , Ghafla nikahisi kishindo kizito kwenye buti, kuagalia nyuma ni gari aina ya mark 2 Grande imeparamia. Sikupoteza muda nilishuka na sura ya kazi nikaifuata gari iliyoparamia, Kulikuwa...
  3. McLaren W1 Supercar yazinduliwa. Ndio itawarithi McLaren P1 na F1. Itauzwa Billion 5.7 za Kitanzania tu!

    McLaren Automotive jana tarehe 06 October wametangaza chuma yao mpya McLaren W1 wameipa codename P18. Hii Plugin-hybrid itaanza kuuzwa mwakani 2025 na ndio itakayowarithi wakongwe P1 na F1 waliokuwepo tokea miaka ya 90s (F1) na miaka ya 2010s (P1). W1 ni 2-doors coupé itakayokuja na gull-wing...
  4. Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  5. GARI TOYOTA COROLLA INAUZWA

    Toyota Corolla One Eleven 111 colour white cc1394 Engen 4E Bei Tsh 6M (Maongezi yapo kidogo) Location- Bunju, Dar es Salaam Fully Document Gari ni Manual Injini safi ni kuwasha na kuondoka Piga Simu 0684129792
  6. Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  7. K

    Nahitaji gari kwa Bajeti ya 5.5 Milioni

    Nahitaji kununua mojawapo kati ya hizi Nadia Allex Spacio old/new. Bajeti yangu 5.5M Mwenye nalo anicheck
  8. Ushauri kwa gari la kwanza

    Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade. Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari...
  9. Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  10. Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  11. Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  12. U

    Nahitaji gari aina ya Starlet

    Habari wandugu naulzia gari aina ya ya starlet kwa anayeuza. Natanguliza shukrani. Model kama hiyo hapo chini
  13. Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  14. Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  15. G

    Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

    Ni kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia. nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto wakati nabadili gia, gari inaruka ruka. Tupeane ujuzi na tips
  16. Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

    Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu. Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
  17. Gari za kukodi

    Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa: Magari yaliyotunzwa vizuri Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika Bei nafuu Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari Safiri kwa faraja na uhakika...
  18. Changan Auto wamezindua Nevo E07 EV ambayo ni SUV na Pickup truck!

    Hawa Wachina wamevurugwa. Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck. Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric...
  19. Msaada jamani, hizi gari zinashida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
  20. Gari yangu nikiweka gia ya parkingi au N inazima

    Habari wakuu,nina gari yangu Mark x nikiwa naweka gia ya P au N inazima Tatizo linaweza kuwa ni nini kabla sijaenda kwa fundi nipate idea kidogo, nipo Dodoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…