Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini
Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi
Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu, utekaji umegeuka dili. Unaweza kutekwa, kuteka, hata kujiteka. Hamkusikia ndata wakisema kuwa kuna...