gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. aka2030

    Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  2. Mr Water Tz

    Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

    Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
  3. GENTAMYCINE

    Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  4. J

    Shaka Hamdu Shaka: Gazeti la Raia Mwema ni waongo

  5. John Haramba

    Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
  6. Mohamed Said

    Bilal Rehani Waikela katika gazeti la Uhuru

    Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.
  7. Mromboo

    Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  8. M

    Watanzania kwanini mnakataa nchi Kukopa, wakati Kukopa Kwetu kumesaidia kujenga Darasa Zuri linaloonekana katika Gazeti la Nipashe la Leo?

    Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena. Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
  9. L

    Gazeti la New York Times lafichua uhalifu wa kivita wa jeshi la Marekani katika nchi za nje

    Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya vifo vya raia wasio na hatia. Serikali ya Marekani imekuwa ikipuuza hasara za raia zinazosababishwa...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Gazeti Mwananchi lamchambua Samia kama karanga

    Ukimwelewa mwandishi anaonyesha Rais alikuwa anaenda chaka. Hakukata kabisa kiu ya wadau
  11. At Calvary

    Gazeti la Machinga. Huenda ni kweli kuwa na improved version ya gazeti la Musiba

    Wakuu kwema.? Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba. Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu. Good morning.
  12. Erythrocyte

    Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

    Baada ya kufungiwa kwa muda kutokana na kuandika kuhusu uanachama wa CCM wa Hamza, sasa limerudi tena
Back
Top Bottom