gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  2. G

    Gazeti la Raia Mwema, kulikoni?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo. Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
  3. Erythrocyte

    Gazeti la Wamachinga ni mali ya nani?

    Kwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga. Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa. Naomba kuwasilisha
  4. J

    Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

    Gazeti la Nipashe liliandika kwa kichwa cha habari kikubwa kuwa Watoto wafundishwa kulawitiana shuleni Watu wengi walishtuka lakini mimi Nilishikwa na wasiwasi kuhusu ukweli wa hii habari hasa ukizingatia gazeti hili lilikuwa nalijua kwa kuandika habari kwa mtindo wa "sensationalism", kwa...
  5. comte

    Gazeti la Mwananchi acheni uandishi wa bora liende

    Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na kutaabika. Wenje ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20...
  6. Munguwetu

    Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
  7. JanguKamaJangu

    Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  8. Mohamed Said

    Mshume Kiyate ndani ya Gazeti la Uhuru

    Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini. Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
  9. JanguKamaJangu

    Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
  10. T

    Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  11. T

    Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  12. Boqin

    SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
  13. Tanzania Tech

    Gazeti App

    Kama wewe ni mmoja wa watu amao unataka kupata habari kwa wakati na kwa haraka basi app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali za hapa Tanzania kutoka kwenye vyanzo bora hapa Tanzania. Pamoja na kuwa unawaza kuwa hitaji app nyingine ya habari kwenye simu yako lakini hebu nipe...
  14. EINSTEIN112

    Askari wa Ukraine wapoteza morali ya vita limeripoti gazeti la NEWYORK TIMES

    Ukraine’s military morale in decline – NYT Those willing to fight are left behind while the unwilling are drafted, according to the US newspaper. Ukrainian servicemen run for cover amid a Russian shelling. © AFP / Aris Messinis Kiev’s “secretive and arbitrary” military recruitment, which...
  15. Gama

    Gazeti la Mwananchi na habari kuhusu harufu mbaya Vingunguti

    Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana Mada Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
  16. T

    Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  17. Gordian Anduru

    Jinsi Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson alivyomuelezea Rais Samia Suluhu kwenye gazeti la Time

    BY ELLEN JOHNSON SIRLEAF MAY 23, 2022 6:06 AM EDT President Samia Suluhu Hassan took office in March 2021, and her leadership has been a tonic. That year has made a big difference to Tanzania. A door has opened for dialogue between political rivals, steps have been taken to rebuild trust in...
  18. Suzy Elias

    Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

    Kesi hiyo ilianza kusikilizwa Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam mbele ya Jaji Leila Mgonya wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Katika kesi hiyo, Mchechu anawakilishwa na mawakili wa kujitegemea Aliko Mwamanenge ma Vitalis Peter. Mchechu anadai kuwa gazeti hilo katika toleo lake la Machi...
  19. Cicadulina

    Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  20. L

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
Back
Top Bottom