gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. Pang Fung Mi

    Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

    Ndugu wana jukwaa, Rejea mistake: No one is above law. Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika. Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya. Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga...
  2. Mamujay

    Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  3. BARD AI

    Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  4. Fortilo

    Gazeti la Mwananchi linatumika kuhujumu wafanyabiashara wadogo wadogo nchini?

    Kwa wafuatiliaji wa gazeti la Mwananchi kwa Muda mrefu watakubaliana na mimi kwamba, Hili gazeti linapoteza umakini wa habari kadiri siku zinavyoenda. Gazeti pengine linalopendwa na kusomwa na wapenzi wengi wa Magazeti nchini nikiwemo. Kwasasa kuna Habari wanatoa kama vile ni agenda...
  5. Mpinzire

    Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua! Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege! Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
  6. Ulongupanjala

    Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali

    Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana.
  7. GENTAMYCINE

    Yanga SC yakubali Kumuuza Mayele

    Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums? Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia. Safari Njema huko uendako Mayele.
  8. benzemah

    Gazeti la Jamhuri: Waziri Mkuu atapeliwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto wanatajwa wanatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliojikuta wakitapeliwa bila kufahamu; JAMHURI linarpoti. Utapeli huo ulifanyika wakati wa maandalizi ya Sikukuu ya Eid al-Adha inavosherehekewa na Waislamu kote duniani...
  9. Dr. Zaganza

    Ungekuwa Mhariri Wa Gazeti Ungeweka kichwa kipi mbele na mwisho?

    Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP) FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi) LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike Tiririka
  10. benzemah

    Mwananchi communications kupitia gazeti la The Citizens wanavyoshindwa kusimamia maslahi ya nchi (national interests)

    Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023. Taarifa za...
  11. NostradamusEstrademe

    Gazeti la Mwananchi rekebisheni hili

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu na ukiona mtu anakuambia mapungufu yako anakupenda ujirekebishe Mimi gazeti la MWANANCHI la kwenye mitandao nalipenda sana sababu lina habari za uhakika. Tatizo ni moja tu huwa sio waangalifu kwenye sentensi na maneno wanayoandika.Naomba kabla ya kurusha huku...
  12. K

    Je ni sawa gazeti kupewa pesa na serikali ya nchi nyingine (IPPMEDIA-CHINA)?

    Kwenye gazeti la ippmedia sehemu ya Features kila toleo ni lazima waandike vitu vya kusifia China na propaganda za serikali ya China. Sasa je gazeti hilihilo hitapataje uhuru wa kuandika habari mbaya za China? https://www.ippmedia.com/en
  13. GENTAMYCINE

    Uwongo huu Usiovumilika wa Gazeti la MWANASPOTI una Faida gani kwa Wasomaji na Wenye Akili

    Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni. Nilidhani miaka ya nyuma hapa hapa JamiiForums nilipoanzisha Uzi wa Kuwasema Gazeti la MWANASPOTI (...
  14. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  15. Elvis Legacy

    Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  16. Replica

    Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  17. J

    Gazeti la Mwananchi mna agenda ya kuchafua BAKWATA na Uislamu?

    Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa" Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa...
  18. O

    Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    Moshi. Novemba 6 mwaka jana, Tanzania iliamshwa na habari mbaya za kuanguka kwa ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya abiria 19, huku 24 wakiokolewa. Ndege hiyo iliondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  19. K

    CRDB na Gazeti la mwananchi ni waongo, wanamchafua Magufuli

    Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuli na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga. Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB? Ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na...
  20. Nyankurungu2020

    Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

    Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
Back
Top Bottom