Tatizo letu binadamu ni moja, vitabu vya dini tunataka tuvisome kama vitabu vya hadithi vya akina Nyemo, tunataka kuvielewa kama vilivyoandikwa, yaani hatutaki kujua walikuwa na maana gani. Tatizo huwa hapo tu.
Sina uhakika na Kurani kwa kuwa sijaisoma sana, ila kwa Biblia, imeandikwa kimafumbo...