Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii.
Kundi hilo, linalojulikana kama Wanafunzi Dhidi ya Ubaguzi (Students Against Discrimination - SAD), lilianza kama harakati ya...
Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada...
https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA
Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto amemtuhumu mtangulizi wake huyo kuwachochea vijana nchini Kenya kufanya fujo.
Usemi huo wa Rais...
Wakuu salamu!
Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli...
Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027.
For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President.
Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE
A political marriage between...
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
afya
afya ya akili
afya ya uzazi
akili
genz
kataa
kataa ndoa
kubwa
kundi
matatizo
members
mfumuko wa bei ya vyakula
ndoa
tatizo
uchumi duni
uzazi
wanaokataa ndoa
wengi
Gen Alpha ni madogo waiozaliwa kuanzia 2010.
Nafikiri kielimu ndio bado vipo form 1, 2 or atleast 3 na mnaelewa mtoto wa form 2 siku hizi unakuta tayari ameshakuwa "porn star" au kama yupo mtaani tayari huyo ni mwanakijiji anafanya atakavyo maana siku hizi watoto hawataki kuitwa watoto.
Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini,
Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati...
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au...
Hivi karibuni kumekuwa na hamasa kubwa miongoni mwa vijana wa Gen Z katika kuibua changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo maisha magumu,uhaba wa ajira,ukiukwaji wa haki za kibinadamu,utekaji n.k.
Na njia ambazo zimekuwa ni maarufu zaidi katika kuwasilisha maoni yetu kwa Serikali ni njia ya...
Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia
Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu.
Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei,
Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
Kuna haja
That Urgent need to have his videos banned in the country.
Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu.
Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha malalamiko yao Tanzania.
Kwanza niseme ni privilege ya hali ya juu kuwa na nafasi ya kusikia UKALI WA...
CHADEMA wasomeni watanzania siasa za shari hawazitaki kutokana malezi,elimu na utamaduni wetu msilinganishe na Gen Z ya Kenya wale
Gen Z ya Kenya wamelekewa malezi ya kizungu kuanzia malezi ya nyumbani, Elimu na tamaduni wanapenda za kizungu zaidi
Watanzania kuanzia nyumbani malezi yetu ya...
Imagine in late 90s au early 2000s unamwambia mama yako kuwa unataka kuwa msanii wa muziki au filamu. Ungekaliwa kikao cha ukoo mzima. Ila siku hizi unaruhusiwa kama kawaida na vijana wanatengeneza pesa.
Imagine in early 2000s eti denti wanaungana na wenzake kutengeneza group la escorts...
“Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.