Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya...
kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu..
kiufupi,
madai mapya...
They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo
The Greatest Generation – born 1901-1927. ...
The Silent Generation – born 1928-1945. ...
The Baby Boomer Generation – born 1946-1964. ...
Generation X – born...
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa....
mathalani,
kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na...
Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya.
Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha uvunjifu wa amani.
Baada ya kusomewa shaka lake na kutakiwa kujibu kama ni...
Kivyovyote vile utakavyo muona kwa suru au kumsikiliza kwa maskio anachosema matokeo au hitimisho lake kwako, ni kwamba utamuamini na utampenda tu, ndivyo alivyo.
Na hiyo ni Neema, Baraka na karama ya kipekee sana aliyojaliwa na Mungu. Hana hofu, kiburi, ubishi, majivuno wala ubinafsi...
Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko...
Washirika wake wa chama chake cha UDA na Muungano wa KENYA KWANZA maseneta, wabunge na magavanor bado wanamuona ni mtu pekee na muhimu zaidi katika kuwaunganisha wa Kenya na kuwaletea maendeleo endelevu katika maeneo yao. Wana Imani nae sana licha ya vijana kutaka ang'atuke mamlakani.
Sambamba...
Nyakati na zama mpya zina wakataa, fikra, maoni na mitazamo mipya ya urika, mvuto na ushawishi zinawapushi kwa nguvu sana kuwabandua nje ya mfumo.
Kiufupi mfumo na nyakati vimewatupa mkono. Hakuna haja ya kusubiri fedheha. ni muhimu kujifunza kusoma alama za nyakati na kuvhukua hatua, kabla...
Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani.
AGENDA NAMBA 260B
Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea...
Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote.
Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
“Insights from Kenya and Tanzania”
Introduction
Recently, Comrade Amos Makalla, Secretary of the Central Committee of Ideology, Publicity, and Training of Chama Cha Mapinduzi (CCM), commented on the Generation Z (Gen Z, typically is defined as individuals born from the late 1990s to the early...
1990s to 21st century
analysis
eac community
genz
kenya
tanzania against genz
tanzania csos
tanzania diaspora
tanzania judiciary
tanzania political parties
tanzania proffessionals and intellectuals
tanzania universities
technology
Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia
Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala.
Hizo warsha...
Ni dhahiri sasa,
Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.
Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.
Ni nini kingine mnahitaji...
Kwema Wakuu!
Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge.
Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija.
Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine halafu anawatukana kwamba wamemsababishia hasara ya billion 2.5 yaani wewe raisi umewekwa tu hapo...
In today's digital age, where communication happens at lightning speed through texts, tweets, and posts, the importance of spelling and reading often gets overshadowed. For Generation Z, born into a world of smartphones and social media, understanding the significance of accurate spelling and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.