Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z
Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili
Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla...
Penye uzia penyeza rupia!
Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa.
Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo...
Gen Z ni vijana waliozaliwa MIAKA ya 2000 mpaka 24. Kizazi hiki kina maisha na purukushani nyingi za kisiasa , kiuchumi, na kijamiii . Kwa nchi kama Tanzania Ili Hawa vijana watulie ni lazima uwafanyie mambo yafutayo.
1. WALETEE VIDEO ZA NGONO.
Hawa madogo hawajambo Kwa mambo ya ngono...
Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za kiuchumi ama zinamilikiwa na wajanja wachache na hasa viongozi na familia zao na marafiki wao.
Njia pekee...
Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni jambo nyeti sana, ukitokea upungufu wa chakula nchini, unaweza walazomisha vijana wanaotambulika...
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.
2. Ruto akiteua girlgriend wake kuwa Waziri.
3. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo...
Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki na hatuwezi kuandamana. Wala kulaumu chochote kama. Ilivyo kwa wakenya?
Ngoja nikutoe wasi wasi...
Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit!
Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa
Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana.
Kwa vile mifumo na sera za fedha na ajira limegeuka kupe dhidi yao katika maisha ya kila siku. Walakini viongozi...
Gen Z movement zilianzia Kenya, zinaelekea Uganda na sasa zimebisha hodi Nigeria. Yapo mafanikio kadhaa yameanza kuonekana kama:
1. Marais kusitisha safari zao nje ya bara la Afrika kwenda kuomba
2. Baadhi ya bajeti zimefyekwa tumeona Kenya, Uganda na hata Tanzania
3. Mabadiliko ya mabaraza ya...
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
Ashukuriwe na kukumbukwa Mzee wetu Lowasa. Aliwaza kitajiri na hakuwahi kuabudu umaskini.
Alianzisha shule za kata lakini alipofaulu kwenye Mradi huu alitoka adharani akatueleza madhara ya matokeo ya kizazi cha shule za kata kwa siku za mbele.
Alituambia tusiweka misingi ya kuwaingiza vijana...
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
Ikiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh. 100,000.
Hata ungekuwa wewe ni Gen Z utaacha kuandamana kweli na kusema Ruto Must go?😂😂😂😂
--
Wizara...
Matakwa ya Gen Z wa Uganda Wanaondamana dhidi ya Serikali
1. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among ajiuzulu
2. Makamishna Wanne wa Bunge wenye Kashfa ya Kujipatia Tsh. Bilioni 1.23 wajiuzulu
3. Idadi ya Wabunge ipungue
4. Wabunge wanaohusishwa na kashfa za Ufisadi wajiuzulu wakati...
Museveni aanza mapambano dhidi ya Gen Z, japo sidhani kama wale wana uthubutu....
Ugandan police deployed heavily around Kampala City on Monday to forestall planned protests by the youth against corruption in government.
In what reflects methods used by their counterparts in Kenya, where the...
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha...
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.
Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.
Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.