1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa
VIVA GEN-Z WACHA SISI TUENDELEE KUTYPE KUHUSU SATIVA HAPA JAMII FORUMS
MLALE UNONO KWAKO johnthebaptist
1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza?
JIBU:
Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa
.1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them
2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo
Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao...
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Wengi wanaona Watanzania ni legelege au hawatambui haki zao ndiyo maana hawachukui hatua dhidi ya maamuzi ya wanasiasa. Wanatamani vijana wetu wangekuwa kama vijana wa Gen Z wa Kenya ambao kwa siku mbili wameteketeza mali zenye thamani ya mamilioni kwa hasira za financial bill 2024.
Matajiri...
Kulingana na tafiti mbalimbali duniani, imeonyeshwa kuwa mahusiano ya vijana chini ya umri wa miaka 25 huvunjika sana. Ni kawaida kwa vijana wa kizazi hiki kuanzisha mahusiano kirahisi na watu tofauti. Inadaiwa kuwa hali hii inasababishwa na vipindi vya ukuaji, mtindo wa maisha, na mabadiliko...
Neno "Kizazi Z" hutumika kuelezea kizazi cha vijana waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2010. Sifa kuu ya rika hili la vijana ni matumizi ya teknolojia ya kisasa kwenye maisha yao ya kila siku kama vile simu za mkononi na mitandao ya kijamii. Hivi karibuni nchini...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families,
1. Kenyatta,
2. Moi(Ruto) na,
3. Odinga)
Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
1996-2010.
Hichi kizazi kimebarikiwa sana,hakisubiri sijui serikali itoe ajira wanazama front wenyewe ni wapambanahi sana
Wengi wao wanajitegemea sio kama sisi kizazi cha millennium bado tupo kwa wazazi jitu lina miaka 36 bado lipo kwa mama.
Wengi wao wanapiga pesa simple sana sio mpaka watoe...
Gen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?
Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
Kwanza kikazi chetu ni kizuri kinaleta changamoto kwenye jamii na kuonyesha ma "gap" mengi ambayo hayajazibwa vizuri kwenye jamii.
Kinapima uwezo na utoshelevu wa malezi yenu (Millennials) Je, yanaweza kutumika katika nyakati tofauti tofauti maisha yakiwa yaendelea kubadilika kila siku.
Gen Z...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.