KABURINI AMA GEREZANI!
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0658564341/0758573660.
1: KIKAO…
Ilikuwa ni ndani ya baa moja maarufu sana ndani ya jiji la Dar es laam, baa ambayo milango yake haikuwahi kufungwa, iwe ahsubuhi, mchana ama usiku, burudani ziliendelea kama kawaida. Kilichokuwa kikibadilika...