Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali ambako alikuwa akitumikia kifungo.
Théoneste Bagosora, mwenye umri wa miaka 80, alikuwa afisa wa...