gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando

    #Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando kwa kozi ya radiology ngazi ya diploma..?
  2. Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida.. Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure. Hata kwa...
  3. Kutokana na uzuri wake nashindwa kukataa mualiko, ingawa ananipa gharama

    Siku ya leo, nikajikuta bora nimsalimie mrembo wangu mwenye ujauzito aliyepo mkoani. Baada ya kuchat kwa muda, ikaonekana inabidi tuonane ili kukipa lishe kile kiumbe; ingawa uchumi hauko vizuri, ila kutokana na ushawishi pamoja na uzuri wake, nimejikuta nakubali mualiko. Nilipomuuliza kuhusu...
  4. Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  5. Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

    Habari wakuu Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money! Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
  6. Kupata ngono mikoani ni gharama kuliko Dar

    Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3. Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
  7. Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  8. W

    Msaada kuhusu gharama za fundi

    Habari za asubuhi wazee, Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
  9. Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  10. Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

    Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi. Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa. Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
  11. Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
  12. Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  13. S

    Msaada kwa yeyote mwenye CD ya nyimbo za Elrehema Paul

    Wakuu GT Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa bahati mbaya hiyo CD imevunjwa na watoto na sina copy nyingine. Kwa yeyote anayemfahamu huyu dada...
  14. Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  15. Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu. Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
  16. R

    Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  17. Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios I. Utangulizi Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
  18. Epuka gharama kwa kuacha kununua vitu visivyo vya lazima, tumia mbinu hizi

    Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa. Mimi Kwa utafiti...
  19. SoC03 Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza kunavyotishia mustakabali wa Taifa letu

    Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
  20. TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…