Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...