ghorofa kuporomoka eastleigh

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Mjamzito aokolewa kwenye Jengo lililoporomoka Eastleigh, Watu wengine wanaendelea kutafutwa

    Timu za uokoaji jioni ya leo zimefanikiwa kumwokoa mwanamke mjamzito kutoka kwenye vifusi vya jengo la ghorofa 18 lililoporomoka katika eneo la Eastleigh, Nairobi. Mwanamke huyo ni mtu wa pili kuokolewa baada ya mwanamume mmoja kuokolewa mapema leo na kupelekwa katika Hospitali ya Kitaifa ya...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Waanza Msako wa Mwenye Jengo Lililoporomoka Eastleigh, Nairobi

    Mamlaka zimeanzisha msako wa kumtafuta mwenye jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kunaswa chini ya vifusi. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alisema jengo hilo lilikuwa limepata cheti cha...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa Eastleigh: Waziri Murkomen asema wafanyakazi 66 waliokoka bila majeraha, watu 11 hawajulikani walipo

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametoa taarifa mpya kuhusu watu waliokuwapo katika jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, huku juhudi za uokoaji zikiendelea. Kwa mujibu wa Murkomen, wafanyakazi 67 walikuwa katika eneo la ujenzi wakati tukio hilo lilipotokea. Mmoja...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo la Ghorofa laanguka Eastleigh, Watu wadaiwa kunasa kwenye Kifusi

    Jengo la ghorofa lililokuwa likijengwa limeanguka katika Barabara ya 9, eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku hofu ikitanda kuwa baadhi ya watu huenda wamenasa kwenye kifusi. Idadi ya watu walioathirika bado haijathibitishwa. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilisababisha...
Back
Top Bottom