Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu...