Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...