Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
 
Popote ambapo angelala, bado angefikiwa, sababu mna mkono mrefu , hamshindwi lolote, nchi ni yenu na kila kitu ni chenu
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?

Njoo geita uone tunapolala wakati tunatafuta dhahabu. Lakini tuko salama sana
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Ni sahihi CCM kuua mtu aliyelala nje?
 
Hv ukiwa ccm kuna ulazima wa kuwa mpumbavu?

Polepole aliishi wapi, na ikawaje?
MO aliishi wapi, na ikawaje?
bro.
Shida sio kuwa CCM.
shida ni kuona kuwa ukiwasaport CCM . Pengne na ww huko mbelen wanaweza wakakuona na kukuteua.

Kwahiyo ni njaa inawasumbua.

Ni sawa na mtu anayebet.
Humu 100% wanaotetea CCM na ambao wanakuja na majina rasmi basi ujue ni makapuku na wananuka shida.

Ukiachana na Taa ira. Kuna wengine Wakiongozwa na Lucas Anawashwa..
ninamjua na nina namba yake.
CCM wenyewe wamemkataa. Na Kwasababu ana mahaba basi akaamua kuwa chawa wa JF adhihirishe mahaba yake.
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Ikiwa ni mbinu ya kukwepa watekaaji ni sawa
 
Kwanini ukiwa Ccm unakuwa kama zezeta.
 
Haujawahi kusafiri kikazi na kufahamu itifaki ilivyo?

Heche hafanyi kazi za kumtafutia chumba dereva, hivyo muondoe kwenye propaganda zako hizo mfu.

Hapo kuna aina mbili za kuandaliwa malazi: kutafutiwa chumba na wenyeji ama dereva mhusika kutafuta mahali anapopataka mwenyewe.
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Unayachokoza manyumbu; shauri yako🤣
 
Hiyo guest ya shilingi 3,000 wamekufa watu wangapi hadi sasa ukiacha huyo dereva wa Heche? Au huyo derrva wa Heche ni mtu special sana?
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
All my life sijawahi sikia guest ya 3000, i call that bullshit
 
Back
Top Bottom