Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?