Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Swala ni ku-save money. Kapewa pesa ila yeye kachagua mahali pa bei nafuu.
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Ng’ombe wa mama, humjui vizuri mfugaji wako. Anawawinda kina Mange ambao wako nje ya nchi sembuse mpigania haki aliyeko kwenye 4-star hotel ya Kigoma?
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Wewe kweli JUHA ,hivi kuna guest ya elfu 3 nchini? Hiyo Lodge si chini ya elfu 30 kwa siku.

Halafu uliuliza kiasi cha pesa alichokuwa nacho kama poketi money? Chumbani ilikutwa 428,000/= ,nina uhakika polisi walipiga nyingine.

Kuna mwingine anapenda Low Key ,mambo ya kwenda kukaa cntre kwenye 5 Star Hotel wengine hawapendi kujichoresha.
 
Sasa ile ilikua Lodge we Kilaza?
 
Sasa ile ilikua Lodge we Kilaza?
Wewe ni KENGE MAJI ,unashindwa kuelewa maana halisi ya Guest ,Lodge ,Hotel ,Motel ,AirB'nB ,Apartment,hostel,Inn,Resort,Villa,cottage,Camp.

Kwahiyo mimi huku MKENDO KATI nikijenga nyumba ya kulala wageni nikaandika jina KING KONG HOTEL inakuwa Guest au Hotel?
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Mavi ya mama
Leo mbona hujaweka mavi Yako tuyaonee na kunusa mkuu
Weka bhasi faza enheee si huwa unabweka ? Umesahau ?
Weka
 
Unayachokoza manyumbu; shauri yako🤣
Yupo wapi balozi Humphrey polepole?
Tuseme naye alilala guest ya 3000?
Nani alimuua Mzee ALLY Kibao?
Yupo wapi Ben sanane?
Nani huyu aliyeuwa watu hapo October 29?
Wapo wapi wale waliozikwa kwenye makaburi ya halaiki kule mbweni?
Ni chadema?
 
Nisiingilie uchunguzi ila nahisi jamaa alikuwa mgonjwa na alikuwa anakimbia mlangoni kufungua ili aombe msaada akaanguka na kufariki.
 
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Acha ushabiki wa kitoto bila kuwa na taarifa kamili. Hili ni jambo la kawaida katika safari. Unalipwa night zako, halafu wewe unaamua kutafuta sehemu bei rahisi ya kulala ili u-save hela. Sasa utamlaumu aliekulipa night?

Mabosi wako wakikulipa kuandika propagaganda chafu tumia akili kidogo basi, kwani huna kabisa?

Inaonekana wewe ni lofa wa mtaani hujui mambo ya safari za kikazi. Huo ndio mtindo wa maisha mzeebaba. Naweza kupewa laki 3 kwa siku za safari nikatafuta guest ya shs 15,000.

Na hiyo bei ya shs 3000 hiyo ni guest yako? Niambie jina lake basi na mie nikienda huko nika save night zangu
 
Sorry
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.

Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Sorry to say this but you are a moron .
Huna uhakika wa bei ya guest house na kwa taarifa yako marehemu alikuwa na zaidi ya laki nne umauti ulipo mfika
Fedha zinazo toka ni asilimia ndogo inayopata chama chenu na hutolewa kwa kazi maalum sio ruzuku.
Bah! HUJUI KITU
 
Sasa Laki nne nayo pesa?😂
 
Hiyo siyo sababu ya kifo cha huyo dereva,,,🚶🏾🚶🏾🚶🏾
 
Back
Top Bottom