Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1779031803816.jpg
    FB_IMG_1779031803816.jpg
    141.7 KB · Views: 39
😁😁 Hii ya mtu kufia gheto isikie kwa wenzako, isikupate moja kwa moja. Au kama ikikupata uwe na pesa ya kusukuma uchunguzi ufanyike haraka
Wala hata manzi halali kituoni , sasa mshikaji si kafa kwa shambulio la Moyo 😂 akifa natural unaandika tu maelezo basi kipengele wakute ana mkwaruzo wowote manina ukija kuchomoka huko Samia sio Rais tena
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo
Gudubai😭
 
Back
Top Bottom