Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

Wala hata manzi halali kituoni , sasa mshikaji si kafa kwa shambulio la Moyo 😂 akifa natural unaandika tu maelezo basi kipengele wakute ana mkwaruzo wowote manina ukija kuchomoka huko Samia sio Rais tena
Kibongo bongo hiyo manzi polisi kalala na hajatoka bure labda kama hana ndugu.
 
Apumzike kwa amani

Wadau tumebaki kulisongesha
🍆🍑
1778953650933.jpg
 
Pumbavu sana! Watu wanaochepuka hujizatiti pakubwa kwa kujiongezea nguvu nyingi za kuzangamua mbunye tani yao, hawataki kuaibika kuwa hawana nguvu za kiume. Wanabugia madawa ya kuongeza nguvu badala ya kula misosi ya maana ili kupata nguvu za kiume zilizo salama
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Mambo ya VIAGRA hayo , kujibust Ili amkomoe beby wake
 
Viagra kazi yake kubwa ni kuongeza mzunguko wa damu .

Kwahiyo ikiwa una pressure yoyote Ile iwe ya kushuka au kupanda sio safe kwako.
Lakini wataalamu wanaeleza kuwa wenye presha ya kushuka ndiyo wenye hatari zaidi kuliko wenye presha ya kupanda.

Lakini haishauriwi kutumia kwa yeyote mwenye changamoto kama ulivyoeleza.

Pia kubwia bila ushauri wa dr, ni hatari.
 
Mambo ya VIAGRA hayo , kujibust Ili amkomoe beby wake
Siyo kukomoa.

Unafikiri nguvu za kiume ni kwa ajili ya kukomoa katika kufanya mapenzi?

Wanasema: 'mwanaume kusimama katika nafasi yake kikamilifu'!

Si jambo jepesi mwanaume kukubali kuaibishwa na baiolojia kirahisi rahisi tu.

Lipia gesti, lisha, nywesha, safirisha, honga, mwisho wa siku kitu hakisomi!

Kama ungelikuwa ni wewe ungefanyaje!
 
Yeah huwezi kujua ndio maana nimeuliza badala ya kufikia conclusion kuwa viagra imetumika.
Sasa mtu amefia gest, ww hapo Huwez kuunganisha dots?
Ingekuwa Jamaa amefia kwenye mtoko wa sehemu ya public, bc tusingesemea mambo ya viagra.
Hapo n jamaa alitaka kwenda kukichafua hvy akajiandaa, kumbe sanda nayo imejiandaa kumvaa
 
Pumbavu sana! Watu wanaochepuka hujizatiti pakubwa kwa kujiongezea nguvu nyingi za kuzangamua mbunye tani yao, hawataki kuaibika kuwa hawana nguvu za kiume. Wanabugia madawa ya kuongeza nguvu badala ya kula misosi ya maana ili kupata nguvu za kiume zilizo salama
Ila h ishu ya kula vyakula fulani au mazoezi fulani ndio yanaongeza nguvu za kiume n tunadanganyana tuu, inawezekana n kwel yanaongeza Ila sio kwa ukubwa huo tunaozungumza.

Tatizo n tunadanganyana wnyw kwa wnyw, kwamba n lazima nyapu uipige kwa masaa ndo hapo una nguvu za kiume.

Mm nachojua nguvu za kiume n uwezo wa kurudia tendo baada ya kumaliza tendo la kwanza, na sio muda unaotumia mpaka kumwaga.

Mwanaume mwenye nguvu za kiume anaweza kumwaga ndani ya dkk 10, akapumzika nusu saa au lisaa na akaendelea na game la pili na kuendelea.

Tumejiwekea mawazo ya ukosefu wa nguvu za kiume kimakosa.
 
Duuh, unaweza ukajihisi uko sawa lakini kiuhalisia uko vibaya Sana...Sisi wanaume tuhonge pesa na hapo hapo umridhishe mwanamke, yaani unaumia mara mbili Kwa starehe yenu wawili ambapo mmoja (mwanamke) ndo anapata Raha zaidi kuliko mwanaume...Acha tufe mapema tu.
 
Sasa mtu amefia gest, ww hapo Huwez kuunganisha dots?
Ingekuwa Jamaa amefia kwenye mtoko wa sehemu ya public, bc tusingesemea mambo ya viagra.
Hapo n jamaa alitaka kwenda kukichafua hvy akajiandaa, kumbe sanda nayo imejiandaa kumvaa
Okay
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
kuforce mambo saa zingine ni kujimaliza mwenyewe tu 🐒
 
Back
Top Bottom