Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
VIagra siyo nzuri kama una presha/sukari/matatizo ya moyo.
 
Alisimamia kwa ukucha 😄
K haikomoleki aise

Ova
Kala viagra
Kapaka mkongo
Kitoto cha 2000
Umri 45
IMG-20260516-WA0038.jpg
 
Watu Wangekuwa wanawaza sawa sawa wasingejaribu kupoteza muda kumfurahisha mwanamke,umhonge hela,umlipie nauli,umlishe na chumba cha gesti ulipe wewe, harafu uingie gharama za kunua Viagra ili umfurahishe!!

Never ever,Mimi napiga nikimwaga imeisha hiyo,hata kama ni dakika 0, papuchi limeshagongwa Toka yuko na miaka 14, wewe na kibororoni chako at age of 45 unataka umridhishe.!!
 
Wala hata manzi halali kituoni , sasa mshikaji si kafa kwa shambulio la Moyo 😂 akifa natural unaandika tu maelezo basi kipengele wakute ana mkwaruzo wowote manina ukija kuchomoka huko Samia sio Rais tena
Hiyo si ni baada ya uchunguzi. Kipindi uchunguzi unafanyika unakuwa nyuma ya nondo
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake.

Jeshi hilo limesema Mei 12,2026 majira ya saahacha Ryoba aliongozana na mpenzi wake na kukodi chumba kimoja katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kupumzika, wakiwa ndani ya chumba hicho, mpenzi wa Chacha alibaini mabadiliko ya ghafla kwa mwenzake, baada ya kuanza kuishiwa nguvu, hali iliyoambatana na kupumua kwa shida, licha ya jitihada za awali alizofanya, hali yake ilizidi kuwa mbaya na muda mfupi baadaye alifariki dunia.

Aidha, Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kubainika kuwa, chanzo cha kifo kimetokana na shambulio la moyo.
Scientifically jmaa

Yes pure biological approval jamaa anawezakuwa alikuwa na shinikizo la damu so probably aliingia kukamia match, kitu ambacho kikamfanya abanwe na pumziii, lakini pia nature ya mwanamke aliedate nae kama ni type za wale ambao hupenda kumbana mwanaume especially once akiwa kwenye orgasm inaweza kuleta shida pia kama mwanaume ni weak in terms of pumzi😔
 
Back
Top Bottom