Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni
Wito huo umetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima...
Wanajamvi,
Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi.
Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi wanataka kubomolewa nyumba zao kupisha kinachoitwa mradi.
Mara kadhaa huhudi zimefanyika kumualika...
JOSEPHAT GWAJIMA AKICHANGIA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mbunge wa Jimbo Kawe lililopo Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima amechangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Mifugo...
Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini.
Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio...
Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums.
Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako.
Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi.
Wananchi hawa...
Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa...
17 February 2023
Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ...
Toka maktaba :
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa.
Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa.
Wewe umeacha kazi ya Mungu umekuwa tapeli wa kisiasa. Wananchi jimboni kwako watakutimua kama mbwa hata kabla ya uchaguzi...
Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo.
Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Salaam Wakuu,
Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu.
Tutachambua moja moja ila leo...
Wana JF
Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara Afya.
Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa hata Rais, Makamu au Waziri Mkuu.
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of...
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni ya kukutafuta. Kuna hili swala la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii linalopelea ndoa nyingi kuvunjika kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na pia hupelekea magongwa...
Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus.
Sasa leo voda wamezindua.
Jeee? Amesema chochote tena?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.