gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. muafi

    Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  2. The only

    Askofu Gwajima acha kumkana Job Ndugai; Rais nakujuza

    Mu hali gani! Mama is so smart sisi wataalamu wa movies za kungu fu tunamwita master. Alipoingia wengi ,hasa mm tulimdharau kuwa yuko soft anadhani uraisi ni kikoba. Muda ukaenda akachagua mbwa mbalimbali madarakani ,ndo nikajuta hata kuwa CCM nkasema huyu naee ,yeye pia muhanga wa lile...
  3. Narumu kwetu

    Kwanini kila anayeshindana na Gwajima anashindwa vibaya?

    Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua...
  4. babu M

    Gwajima: This is Ndugai I know!

    Gwajima kwenye press conference yake leo amesema mwanzoni alipomsikiliza Ndugai aliona ni kama hoja vile. Akamtumia Ndugai text “this is Ndugai I know”. Ndugai akamwambia mtani mimi nimechanja lakini naumwa. Gwajima akamwambia “mtani hautakufa mpaka tumalize safari…maana yake tufike 2025” Je...
  5. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  6. CK Allan

    Press ya Gwajima kujirudia yale ya Nape?

    Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake.. Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri.. Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri.. Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari... Na hata...
  7. Boss la DP World

    Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

    Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
  8. J

    #COVID19 Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

    WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
  9. masopakyindi

    Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

    Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima. Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani. Uongo mwiingi
  10. Suzy Elias

    Gwajima: Mfalme mwache avimbe, wewe songambele

    "....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima. "....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima. "....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
  11. Kamanda Asiyechoka

    Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

    "Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia CCM https://t.co/08EMrlwm6
  12. Ngungenge

    Jerry Slaa ni utoto, Gwajima alidanganywa, Polepole amedhamiria

    Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake, Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu, hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida. Gwajima-huyu...
  13. GENTAMYCINE

    CCM msihangaike na hawa akina Polepole, Silaa na Gwajima, bali hangaikeni na wanaowatuma ambao mmewakumbatia Sekta Nyeti na Serikalini huko

    Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari wameshakupima na Kukuona ni Mwepesi kwa Mipango yao 'Ovu' Kwako hivyo shtuka mapema kabla yale ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

    UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA? Anaandika, Robert Heriel. Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno. Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima...
  15. T

    Tufanye gwajima anavuliwa ubunge, je ni nani wa chama gani unadhani atamrithi!!?

    Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  17. Naipendatz

    Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  18. mgt software

    Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

    Wana JF Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
  19. MEXICANA

    Kulikoni mfuasi wa Gwajima, Amos Komba kaanzisha huduma yake ya kiroho?

    Habarini wana JF, Nmekutana na huduma mpya ya huyu mtumishi ambaye juzi kati alikasimishwa madaraka ya kusimamia makanisa ya Ufufuo na Uzima Dar. Nmeona kama ana ameanzisha huduma nyingine inaitwa Clinic ya mwanakondoo, sasa sjui wamezinguana vipi na ASKOFU Gwajima wakati huyu alikuwa...
  20. Dr Matola PhD

    Mchungaji Munishi amlipuwa Gwajima wa Kawe huko kwenye mitandao ya Meta

    Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter. Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE. Au mwekee wimbo huu ausikilize. MIMI NIMEMUULIZA Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi? Alisema akipata ubunge kawe...
Back
Top Bottom