Mtunzi ni CK Allan
Madam President
Juni 1998
Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob tulikua mwisho kabisa ya mstari kuingia kwenye Basi la shule tayari kwenda Tanga mjini ambapo...