JINA: Tabia.
MWANDISHI: Chiamaro Mokiri.
Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60 ya kuishi. Ila mimi nilikadiria labda masaa 36, au dakika 36 ndizo alikuwa nazo kama mambo...