Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii!
Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...