hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. NADHARIA Iringa: Mzee Kiyeyeu alizikwa na mtu aliye hai na kaburi lake lilizuia umeme wa TANESCO kuwaka

    Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
  2. Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  3. Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  4. Kutoka maktaba: Hakimu aliyechunwa ngozi kwa ufisadi

    Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC. Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la Uajemi. Iligundulika kuwa alichukua hongo/rushwa mahakamani na akatoa hukumu isiyo ya haki. Kwa sababu...
  5. Maajabu Ya Mawe Yaliyo Hai Ya Romania:Yanakua,Kuongezeka Na Kupumua!

    https://www.thearchaeologist.org/blog/the-mystery-of-romanias-living-stones-they-grow-reproduce-and-breathe
  6. Msaada wa kuandika wosia

    Habarini za usiku wependwa Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
  7. Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

    Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam. Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai. Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
  8. Serikali Kujenga Vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, Uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai

    SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
  9. Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

    JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI "Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
  10. Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  11. Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  12. Watoto 4 Wakutwa Wakiwa Hai Siku 16 Baada ya Ajali ya Ndege

    Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye. Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
  13. Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  14. Siasa za chuki kwa Lissu kuwa Hai hazilisaidii Taifa

    Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai hata baada ya jaribio la kutaka kumuua kufanyika. Kuna watu kila wakimuona Lissu anatembea na...
  15. MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

    Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo. Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
  16. Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  17. Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  18. Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  19. Kipenzi cha wana Hai huko Kilimanjaro kinawakaribiisha kwenye kombe la Ramadhani cup

    Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023. Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila ajiandae kwenda kuchunga mbuzi muda ukifikia.
  20. Huwezi kuitawala dunia bila mwili

    Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili. Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema! Asie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…