Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa.
Manara: Nini hiki?
Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini wetu?
(Maji afya).
Manara :Duh huu mtihani kwangu (yeye balozi wa maji ya uhai)
Bumbuli: anacheka...