Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu.
Wameyasema haya baada ya kutoa tangazo kuwa watafunga balozi zao Tanzania.
Ikumbukwe kuwa Denmark imekuwa mdau...
Taifa letu linatia aibu sana, maana ni kama hatuko ulimwengu wa karne ya ishirini na moja, ambayo inataka kuwe na usawa kwa binadamu wote. Maana hakuna ambaye ni special zaidi ya mwingine.
Kuna watu wanaua raia wenzao, wanatesa raia wenzao wakiwa mahabusu na kuwapiga mpaka wanakuwa vilema...
Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza
Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi!
Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
Jina lake kamili ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kifupi chake ni CHADEMA kifupi ndani ya ufupi wa jina ni CDM, lakini kuanzia ngazi ya msingi ya hiki chama hakihakisi kabisa jina la chama hichi , sasa maswali yanakuja mengi na kutaka kujua hivi hiki chama ni cha mlengo gani?
Kuna wakati...
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021
Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
“Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
Kuna kesi kadhaa zinaendelea mahakama kadhaa nchini (Dar, Kilimanjaro, Iringa etc) kisa wahusika eti ‘hawakuwa na leseni ya Online TV’.
Huu ni uonevu uliotoka awamu iliyopita na inaonekana unaendelezwa katika awamu hii.
Kesi hizi zenye kulenga kutisha au kunyamazisha watu kwa kutumia sheria...
Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu.
Lakini Nina swali moja nakosaga jibu.
Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua.
Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
Utawala bora na haki za binadamu ni mambo yanayokwenda kwa pamoja.
Hii ni kutokana na ukweli kamba ukiukwaji wa misingi ya utawala bora unasababisha uvunjaji wa haki za binadamu; na uzingatiaji wa misingi ya utawala bora unasaidia ulinzi na hifadhi ya haki za binadamu.
Jedwali lifuatalo...
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
PIA, SOMA:
- CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
HAKI ZA BINADAMU
Utangulizi
Mnamo Desemba 10, 1948, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha Azimio la Haki za Binadamu (UDHR), likitangaza haki zisizoweza kutolewa ambazo wanadamu wote wanastahili, bila kujali rangi, rangi, jinsia, lugha, dini, siasa au maoni mengine. , asili ya kitaifa au...
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.
Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya.
Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata.
Vitendo hivi...
Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa Rais Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia.
1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama?
2. Kwa kiasi fulani haki za Binadamu zinazingatiwa ingawa bado kuna kazi kubwa ya...
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa
Rais Samia tafadhali hakikisha...
hadharani
hakizabinadamu
kukamatwa
magufuli
makini
makonda
mashitaka
ole sabaya
paul makonda
rais samia
sabaya
serikali
takukuru
tuhuma
utawala
utawala bora
The Diplomat
Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote.
Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia!
Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo.
Mbaya...
Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.