Niende kwenye Hoja,
1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo usitofautishe namba za wateja wao na miamala ya malipo? Mbona ukihamisha Hela kupeleka kwenye Taasisi za...