Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024.
Wanaharakati hao...
Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA.
Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...
Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
"If the Court still makes mistakes by condemning the Innocents, Why do we still allow it to provide rights?"
Kama tunajua na kukubali kuwa kuna watu wasio na hatia wako jela, kwanini bado tunaiamini na tunaiachia mahakama kutupatia au kuhukumu kwa haki?
Naamini tunaweza pata suluhisho jingine...
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.
DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini.
Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo;
1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao.
2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban
Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi.
Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane.
-Wape ulinzi,
-Hakuna kitakacho haribika
-utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R
-utapunguza malumbano ya kulilia haki.
Baada ya Maandamano:
Baaada ya Maandamano, utajitokeza na...
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.
Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers
Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,,
Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana.
* **** ****
Miaka imeenda sana,,
Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki.
Zingatia sieleweki yaani,
Hawasikii Sonko kuwa na demu,
wala zile kesi za ajabu ajabu.
Kifupi mtaani...
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
India
https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY
UK
https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts
Ukrain
https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria
https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_l
Zimbabwe
https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs
Port au Prince...
MITHALI 11:6. HAKI HUOKOA WENYE HAKI. FITNA ZA KISIASA ITAWANASWA WENYE HILA. HAKI NDIO USALAMA WA NCHI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mithali 11:6
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.
Bado Kuna mtifuano ndani ya nchi. Mambo...
Wakuu,
Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania.
Kwenye maadhimisho haya wameonesha pia na kikosi cha FFU ambacho kinatumika kutuliza ghasia kukiwa na vurugu.
Cha...
Habari,
Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo
Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa
zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe.
Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.