hakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwaka 2018, Tigo walitakiwa kumlipa mteja Tsh 1,000,000 kwa kumkata fedha ya huduma ambayo hakuwa amajiunga kwa ridhaa yake

    Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
  2. Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  3. GORBACHEV hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail". Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi dogo sana linalo mtazama Gorbachev kama mwanamageuzi wa kikomunisti alie fail na sio kama pandikizi...
  4. Kwanini Guti hakuwa anapewa sifa zake wakati anacheza na hata baada ya kustaafu?

    Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
  5. Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

    Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao. Hilo si kweli. Rais Magufuli alipingwa sana na watu. Tena watu wa kada zote. Kudai kuwa hawa...
  6. Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  7. Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

    Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
  8. Kumbe Abushiri wa Tanga aliyepigana na wajerumani na kunyongwa hakuwa na maana yoyote

    Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
  9. Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  10. Je, Membe hakuwa na mahusiano mazuri na Yusufu Makamba? Alikosea wapi?

    Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa. Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
  11. Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  12. Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  13. Ni lini tutaacha Kumsimanga Hayati Magufuli na kumuonesha kuwa hakuwa Rais mpenda Watanzania?

    "Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro. Chanzo: Mitandao ya Tanzania Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
  14. B

    The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  15. Ronaldo hakuwa mjinga kusogeza pembeni chupa 2 za cocacola

    Wakuu za sahizi, Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini Na jinsi...
  16. Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  17. Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  18. Dkt. Bashiru hakuwa yeye wakati ule anaongea. Ameyafunua mengi ambayo hatukuyajua

    Nimemsamehe kule kote ambako alikosea. Ile kauli aliyoitoa hakuwa yeye. Nadhani Mungu alimtumia makusudi kufunua mauchafu yaliyokuwa yamepoa. Tunayasikia sasa yakitoa harufu. Bashiru ameyakoroga tukagundua kumbe kuna mauchafu mengi sema yalikuwa yametulia. Nampongeza sana.
  19. Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

    Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba. Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta...
  20. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…