Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu.
Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu,
vita vya wao kwa wao haviishi
Huduma za kijamii zipo chini sana
umasikini...
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata
Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .
Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine
Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .
Unfortunately Baba yake anapitia...
Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa dhamana.
Leo nimesikia kwamba wafanyakazi wao wengi wana hali za kawaida/ chini kiuchumi
Kuna ukweli?
Wakuu,
Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi.
Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku.
Video...
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo.
Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii.
Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
Kazi ya kutafuta miili ya watu watano wanaohofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuzama ndani ya Ziwa Victoria imesitishwa kwa muda, kutokana na hali mbaya ndani ya ziwa, hivyo waokozi kushindwa kuona kutokana na kukosa vifaa.
Watu hao wanahofiwa kufariki dunia jana Septemba 15...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kisoko, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ninachojiuliza ni kuwa lini utatuzi wa barabara inayounganisha Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini itatekelezwa?
Hii barabara haipitiki kwa usafiri wa gari kutokana na uwepo wa Korongo kubwa ambalo limetokana...
Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata.
Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
Wanaukumbi.
BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa
Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza:
"Lazima uchague kati ya ushindi na maafa. Ifikapo Juni 8, mpango wa utekelezaji wa kuendeleza vita lazima uwasilishwe, ikiwa...
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Msikilize hapa...
Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuona kama kuna umuhimu wakuchukua hatua zaidi.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili...
Wakuu, salama huko ulipo?
Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi.
Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto.
Halafu cha kushangaza...
Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka.
Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Hamna hela
Hamna viewer
Hamna comment
Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
Naambulia kulipia tu domain
Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana
Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake.
Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
https://infrastructurereportcard.org/
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua...
Moja kwa moja kwenye mada.
Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo.
Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki.
Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.