Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19.
Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo...
Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo.
Kwanini hali hii?
1. Mama kulinganishwa na Mwendazake
Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji.
Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari.
Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan!
Inasemekana lakini.
Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia walinzi wa kwenye mageti wenye uwezo wa kufyatua bunduki.
==================
WASHINGTON (Reuters)...
US senators divided over HIMARS ammo for Ukraine – media
Disagreements over supplying Kiev with long-range rockets for the system cut across party lines, the Daily Beast reports
FILE PHOTO: US military personnel stand alongside a M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) in Saudi...
Ndio kiwanda pekee kilichokua kimesalia cha kutengneza vifaru, jameni aliyemuingiza Putin kwenye huu mkenge haitokuja asamehewe.
The only tank manufacturer in the Russian Federation – UralVagonZavod has partially suspended production, employees have been sent on unpaid leave and financial...
Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol.
Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele.
Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu.
Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali...
Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake.
Mbilinyi...
Takwimu za Asec mimosa ligi kuu
mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi
Huku upande wa simba mambo yako hivi.
Morrison
Lwanga- injury
Chama
Mugalu
kibu denis- injury
Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa.
Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
Kwa hali iliyopo sasa ya kuamka na kusikia vitendo vya mauaji kila mahali
Kama Taifa ipo haja ya viongozi wa dini kufanya maombi ya kitaifa ili kulinusuru na hali hii mbaya.
Vile vile ipo haja ya wazazi katika level za kifamilia kuboresha makuzi ya watoto wao katika misingi ya Tabia sahihi
Na...
habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
Habarini ndugu,
Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei.
Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida.
Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada
Tunatumaini
1)Uteuzi Mpya...
Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.
Mkurugenzi huyo Matshidiso Moeti amewaambia waandishi habari kwamba uamuzi wa nchi hizo...
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Nadhani wote ni mashahidi wa shule hizi za serikali hasa zile kongwe kabisa kwani miundombinu sio rafiki tena.aidha kwa wakati zilizijengwa au kukosekana kwa ukarabati wa mara kwa mara.
Shule hizi kwa kweli hazijaasiliwa sana na sera mpya ya elimu bila ada.kwani shule no zile zile na Kila kitu...
Hawa machinga wanatutafutia ugomvi sisi wafanyabiashara wa maduka.
Kumbuka Wenye Fremu wanalipa Kodi TRA tutashindwa kulipa Kodi kwa style hii.
Serikali waliangalie hili Jambo kwa upana zaidi.
Hapa mteja anapita wapi kuja dukani wakati duka halionekani Kodi za pango ni zaidi ya milioni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.