Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.
Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola.
Ngurdoto imerudi.
JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine sehemu mbalimbali nchini, lakini akawa bize kujenga pagale la nyota tano kwao chato
===========...
Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni.
Unamuuzia mtu sime au upanga kisha unamfuata na akurudhishie maana una shida nawo...
Russia is trying to get back some of the...
Mimi ni Mfanyakazi wa Shule ya Msingi Gisela N/P School (Private) iliyopo Kipunguni B Ukonga Ilala hapahapa Dar es Salaam, tunadai mishahara ya miezi 3 mfululizo, ya tangu mwezi wa 7 mpaka mwezi huu unaoenda wa kuwa wa 11, 2023.
Sambamba na hilo tuna malimbikizo ya mishahara yetu ya nyuma tangu...
Anonymous
Thread
halihalimbaya
malipo
mbaya
mishahara
nssf
shule
tuna
ukonga
walimu
Sio kawaida ya huu mkoba ambao unaitwa "Cheget" kuonekana hadharani, lakini imembidi Putin kutembea nawo baada ya kuhofia kamata yoyote kwa ajili ya ICC.
==================
Russian President Vladimir Putin has been filmed in Beijing following his meeting with Chinese leader Xi Jinping –...
Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi.
Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama.
Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa...
Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani.
Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana maisha marefu ya kisiasa kwa sababu hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi.
Unaweza kuukataa ukweli lakini hata kama ukiukataa hakuwezi kuubadilisha kuwa uongo.
Mwl. Nyerere aliwahi kusema, “Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali...
Nakumbuka mwaka jana niliona kuna memba mmoja wa JF aliandika kuhusu huduma mbovu zinazotolewa na Hospitali ya K’s iliyopo Mbeya, sikuwa nimeweka umakini sana lakini kilichotokea wiki hii ndio nimeona kweli hiyo hospitali ni ya kidwanzi.
Wiki moja iliyopita nilifika hospitalini hapo si kwa...
Wakati tukiwaza maisha magumu embu tupige magoti tumshukuru Mungu na kuwaombea wenzetu kama zimbabwe, Somalia n.k ambao wanapitia kipindi kigumu cha maisha.Tunalalamika hali ni mbaya ila kuna wenzetu wanataman hata haya maisha tunayoishi sisi.
#HABARI
Zimbabwe imetajwa kuwa nchi yenye hali...
Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa.
Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru
Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
Taarifa
Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu
Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima .
Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
Hali ya maisha imekuwa tete sana.
Mchele
Maharagwe.
Mafuta.
Unga
Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama.
Hali mbaya wengine wakichota billions
Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume.
Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi WANAUME, kuhusu za makusudi baina ya wanawake wenyewe wanapaswa kufanya ili kuinua uchumi wao ikiwa ni...
Wakuu kwema!
Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4. Nk...
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4.Nk...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28.
Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru.
Kwa Mwaka wa Nane...
Habari za kazi wanajamvi,
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.