Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Mada kuu ni hali ya baadhi ya vyombo vya usafirishaji vinavyohatarisha usalama wa abiria.
Picha chini ni sehemu ya seat ya abiria kwenye daladala ambapo mabati yamekatika na yameachwa kiasi kwamba ni hatari kwa abiria si tu endapo itatokea ajali bali hata...