hali ni shwari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

    Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
  2. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hali ni shwari mitaani na wananchi watoa onyo kali sana kwa yeyote atakaye jaribu kuvuruga Amani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ni shwari sana mitaani kote. Amani na utulivu vimetawala na kutamalaki,shughuli za kujipatia kipato kwa mwananchi mmoja mmoja zinaendelea kama kawaida huku wananchi wakiwa na amani kabisa. Hakuna hofu wala wasiwasi wa aina yoyote ile. Hakuna shaka wala mawazo...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Makalla: Hali ya mkoa wa Arusha ni shwari, shughuli za kijamii na kiuchumi zimerejea

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wageni na Watalii wanaofika Mkoani Arusha kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoani Arusha ni shwari na shughuli za kijamii na kiuchumi zimerejea katika hali yake ya kawaida. Mhe. Makalla amebainisha hayo...
Back
Top Bottom