PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia

Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.

Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
 
Mipango butu na hayakuwa na viongoz wanaoratibu
 
Muda bado mda wa noma bado subir saa 12 giza liingie
 
Nahisi Leo ni uzinduzi wa maandamano tu na wamefungua JWTZ na Polisi, kesho sasa huenda GenZ wakawa live, ni option mbili tu nchi ifungwe watu wasitoke au shughuli nyingine ziendelee zikihusisha maandamano...Mimi nafikiri bado mapema kumpata mshindi wa hii mechi kikubwa tuombe amani tu.
 
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia

Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.

Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
wapiga kelele tupo nao uku online
 
Maandamano kwa zamu, Leo ni siku ya kuandamana vyombo vya usalama, kuanzia kesho itakuwa zamu ya Gen Z,
Hata kabla ya 29oct vyombo vya ulinzi na usalama vilianza maandamano mapema.
 
Poor Government support,
Poor Management,
Poor People facilitate,
Poor food supply
 
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia

Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.

Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Maswali ya kipumbavu mnoo
 
Back
Top Bottom