PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Muda bado mda wa noma bado subir saa 12 giza liingie
SASA hujui kwamba huo ndo muda mzuri Kwa Yule jamaa Mwenye jezi ya yanga kutungua mapapai vizuri bila kuonekana? Mtashangaa Tu watu hawaonekani mitaani na no trace left
 
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia

Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.

Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.

Unauliza mqvNdv wa mbwa wakati mkia unauona?
 
Back
Top Bottom