Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania na Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Alphonce Misime amesema hali ya usalama katika viwanja vya Sabasaba na jiji la Dar es Salaam imeimarishwa huku jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama vikiwatoa hofu wananchi wanaofika katika viwanja hivyo...
Kuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga.
Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road siku 3 zilizopita wamevamia nyumba kadhaa kama 5 na kujeruhi wakazi huki wakiiba.
Ni wakati wa...