hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
  2. Mamlaka hali ya hewa, husikeni zaidi kwenye Ziara ya Viongozi wa Juu!!!

    Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA. Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
  3. Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  4. KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

    Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
  5. Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  6. P

    Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
  7. DOKEZO Songea: Shule ya Msingi Mshangano ina vyoo vichafu sana. Ina wanafunzi 914 na matundu 10 ya vyoo

    Ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, inapatikana Shule ya Msingi Mshangano. Shule hiyo ina vyumba 6 vya madarasa na wanafunzi zaidi ya 900. Pamoja na kuwa imeanzishwa miaka michache iliyopita, changamoto za uzembe zinajitokeza katika shule hiyo, kama vile ukosefu wa maji ambao...
  8. M

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  9. Wakuu, mlishakutana na hii hali?

    Mambo yamebadilika wakuu Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba. Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia...
  10. Mwanaume kupigwa na mke wake ni uzembe wa hali ya juu

    Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi...
  11. B

    Raia walia na hali ngumu ya maisha chini ya Rais Tinubu

    15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito, raia sasa wagombania makabi ya mpunga badala ya mchele kutokana na ughali wa maisha na kumtahadharisha...
  12. Nilikuwa sijui: Asilimia zaidi ya 40 ya barabara za US ziko katika hali mbaya

    Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu. Chanzo https://infrastructurereportcard.org/ My take. Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua...
  13. Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  14. Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani

    "Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu...
  15. Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  16. E

    Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

    Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
  17. Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Habari ya weekend great thinkers? Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔 Enzi hizo nilikua nashangaa...
  18. Tokea shirima wa presicion afe naona hali sio hali tena

    Imekua ni page ya mahaba
  19. Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

    DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo. Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
  20. J

    Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…