Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi.
Hii ni tarehe 1 January 2024.
Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye silaha wameripotia kuvamia katika mitaa mbali mbali na kuwajeruhi wananchi na kuwaumiza kabla ya...
Moja kwa moja kwenye mada.
Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo.
Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.
Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.
Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule.
Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo.
Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa...
Tujiandaeni kwa Maboko yake ya kama Kawaida kutokana na Kukurupuka Kwake Kiasili japo GENTAMYCINE natamani mno azungumzie pia kuhusu Kero ya Kukatikakatika kwa Umeme nchini kwa muda wa Wiki Tatu kama siyo Mwezi sasa.
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati.
Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki.
Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni.
Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua.
Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
Wanaukumbi.
Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!!
Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote.
Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na mafuriko kutokana na mvua kubwa.
Taarifa ya Ikulu mjini Victoria, imetolewa kufuatia mlipuko mkubwa...
Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28.
Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai.
Ofisi ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.