Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo?
Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi.
Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia.
Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua.
All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito...
Hello!
Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.
Baadaye Mzee...
Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona kachuja, hajui mimba ni ya nani na mshkaji aliyembambikia kamakazia sio yake na kwakuwa pisi bado...
Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena.
Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu.
Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto...
Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto
wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya?
Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito?
Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa?
Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
Nikiwa kama mwananchi nimeona nitumie jukwaa hili maana naamini wahusika wengi wapo humu na wengi wanaweza saidi kupaza sauti.
Nimepita eneo la Sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT kiukweli hali ya usalama wa afya ni mbaya kwa wakazi hao.
Nilifanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa maeneo...
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari.
Size ni 3x6
Mbao ni Pine na Cyprus
Bei 100,000 na godoro lake.
Location: Dar es Salaam
Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu?
Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo.
Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri...
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.
Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.
Hapa...
Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
WATANZANIA TUNA MOYO MZURI LAKINI WAHUNI
Nchi yetu ya Tanzania ni kisiwa cha amani Duniani,hili ni tokeo la malezi mema ya Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitufanya tuwe waungwana na wastaarabu,Ahsante Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage...
Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa.
Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza...
Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023.
Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga,
Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.