hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  2. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  3. mambio

    Wakongo wanashambulia madereva wanaokwenda kusafirisha shaba, hali ni mbaya

    Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo ==== Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa. Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...
  4. Mjanja M1

    Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  5. Webabu

    Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

    Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia. Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
  6. Mangi wa Rombo

    Hali ya Kunga cha Mbopo - Bunju ni mbaya sana!

    Habari wana JF! Nafahamu kumekuwa na ripoti nyingi za uharibifu wa miundombinu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, lakini leo ningependa nilete jukwaani hapa hali ya kiunga kati ya Mbopo na Bunju, kutoka kata ya Mabwepande, wilaya ya kinondoni. Kwa sasa hakuna mawasiliano kabisa kufuatia...
  7. greygreyo

    Hali ya mikopo vyuoni ni Mbaya

    Wanafunzi hawajakamilishiwa boom zao mpaka sasa na mitihani inafika na wanategemea kulipia ada, HESLB wanampango gani?
  8. kocha Nabi

    Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  9. Nsanzagee

    Mzee Kikwete alikuwa na damu ya Kunguni? (Gundu) hali ilivyo sasa

    Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao Inashangaza sana Nakumbuka 2013 nilikuwa kwenye viunga vya Bagamoyo, na kipindi hiko mgao wa umeme ulikuwa umepamba moto sana kiasi cha wananchi...
  10. ndege JOHN

    Utata wa hali tuliyonayo ulimwenguni kwa sasa

    Wanajukwaa mnaonaje ustawi wa dunia kwa sasa hapo mashariki ya kati sio mbali na sisi tulipo na hata bahari ya shamu unavuka tu nchi mbili Kenya na Djibouti au somalia. Chokochoko hizi zitaathiri zaidi uchumi wetu hali zitakuwa mbaya zaidi mnashauri tujipange vipi kwa level ya kila mmoja ili...
  11. mkarimani feki

    Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia. ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara. Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii. Rais...
  12. Hekima94

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Habari wana JF Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu... Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine... Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi...
  13. A

    KERO Dar: Hali ya Barabara ya Mbezi Juu Makonde kuelekea Baraza la Taifa la Mitihani ni masikitiko makubwa

    Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii barabara na hata kuiwekea lami ukizingatia inaelekea kwenye moja ya Taasisi zake kubwa kabisa...
  14. Messenger RNA

    Pre GE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  15. Nehemia Kilave

    Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  16. BigTall

    KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  17. Nyendo

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini na mpite mitaani, hali ya mazingira hairidhishi

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
  18. Roving Journalist

    Katavi: Baadhi ya Shule hali ya kuripoti Wanafunzi hairidhishi Mwaka 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameagiza watendaji wote wa Mitaa na Vitongoji wakishirikiana na maafisa elimu kuhakikisha wanatoka maofisini na badala yake wawatafute Wanafunzi wote wanaopaswa kuwa shule ili kuendelea na masomo. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufanya ziara katika...
  19. A

    DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
  20. Ritz

    Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
Back
Top Bottom