Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini..
karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini...
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.
Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
UFAFANUZI KUHUSU HALI YA AJIRA ZA WATUMISHI KAΤΙΚΑ BANDARI YA DAR ES SALAAM
Ijumaa 22 Machi, 2024 DAR ES SALAAM
Jumatano tarehe 20 Machi, 2024 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ilitoa taarifa kwa Watumishi wake kuhusiana na mabadiliko ya uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, Gati...
Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo.
Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
KUMBUKUMBU
Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu!
Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu.
Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
Blog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Hamna hela
Hamna viewer
Hamna comment
Hamna faida yeyote
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
Naambulia kulipia tu domain
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao."
Hali ilivyo sasa ni kwamba...
Wakuu kwema?
Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo?
Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu.
Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo.
Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
Mfumo wa Utawala wa JK ulikuwa wa safari nyingi nje. Nyingi ya safari zake zililenga zaidi kukimbia presha ya kisiasa ndani ya nchi sambamba na ugumu wa maisha. Pale alipobaini patatokea hoja ngumu ya yeye kusimama kama mwenye nchi kuamua alifafanya vyovyote iwezekanavyo awe nje ya nchi kupisha...
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.
Sina kachanga sina presha ni nini?
Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Sijawai kuwa Askari ila naona kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu na risasi kwa wahalifu au watuhumiwa.
Kwa kisa hiki kilichomsababishia majeraha makubwa binti wa miaka 16 kwa kupigwa risasi na askari utaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa.
Risasi zinazopigwa hovyo hovyo zimegharimu...
Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024
Vurugu...
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana.
Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.